{"id":1480915,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1480915/?format=json","text_counter":148,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Asante, Bi. Spika wa muda kwa kunipa fursa hii kuchangia Mswada wa marekebisho ya Sheria ya makosa ya uchaguzi. Sheria hii na marekebisho haya yamekuja kupitia kwa ile Kamati ya National"}