{"id":1480919,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1480919/?format=json","text_counter":152,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Bi. Spika wa Muda, kuna mabarobaro wawili hapa wanaocheka kwa sauti. Naomba wacheke wa sauti ya chini kwa sababu mzee anazungumza. Kwa hivyo, ni muhimu kunisikiliza."}