{"id":1488495,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1488495/?format=json","text_counter":126,"type":"speech","speaker_name":"Lamu East, JP","speaker_title":"Hon. Ruweida Mohamed","speaker":{"id":2100,"legal_name":"Shariff Athman Ali","slug":"shariff-athman-ali"},"content":"aliziwacha hizi asbestos pale Kiunga. Wananchi wamezichukua na kutengeneze maboma. Ni hatari sana. Ninaomba wahusika wahakikishe kwamba hilo jambo limerekebishwa kabla halijaleta madhara. Tumeambiwa kwamba asbestos husababisha cancer . Unatarajia watu wangu wa Kiunga wapate hiyo shida ilihali wenyewe ni maskini wa roho zao?"}