{"id":1490490,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1490490/?format=json","text_counter":303,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Mungatana, MGH","speaker_title":"","speaker":null,"content":"tukimaliza kuijadili na kuipiga msasa, itaenda kwa Rais na wananchi watapata afueni kwenye hii sekta ya maji. Naomba kuunga mkono."}