{"id":149258,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/149258/?format=json","text_counter":524,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"nchini. Tukiwaweka wafungwa hawa katika miji mikubwa hatufaidiki hata kidogo. Kwa kufanya hivyo, tunapata gharama kubwa ya kuwalisha."}