{"id":1494952,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1494952/?format=json","text_counter":78,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Chimera","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Gavana yeyote mbadhirifu na anayeshindwa kufanya kazi yake hafai kutumia ukosefu wa fedha kama sababu ya kutokuwa na huduma katika kaunti yake."}