{"id":14954,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/14954/?format=json","text_counter":344,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Muthama","speaker_title":"","speaker":{"id":96,"legal_name":"Johnson Nduya Muthama","slug":"johnson-muthama"},"content":"Bw. Naibu Spika wa Muda, ninakushukuru kwa nafasi hii. Ninaanza kwa kuunga Hoja hii mkono pamoja na mabadiliko ambayo yamependekezwa."}