{"id":1496887,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1496887/?format=json","text_counter":109,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"ili ziweze kuhakikisha kwamba sheria hii inatumika kufanya kazi. Naunga mkono Mswada huu na naomba maseneta wote waunge mkono."}