{"id":1496976,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1496976/?format=json","text_counter":198,"type":"speech","speaker_name":"Sen. (Dr.) Murango","speaker_title":"","speaker":{"id":13585,"legal_name":"Murango James Kamau","slug":"murango-james-kamau"},"content":"Matatizo ambayo yako hapa yanamkumba sana mwananchi wa kawaida. Na siku ambayo mbwa anatua katika sehemu nyeti, hiyo ndio siku mtu hujua sio kila tatizo huwa linatatuliwa kwa fimbo au nyundo."}