{"id":1498237,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1498237/?format=json","text_counter":397,"type":"speech","speaker_name":"Mombasa, ODM","speaker_title":"Hon. Zamzam Mohammed","speaker":null,"content":"inafanywa sawasawa, na inafwata sheria. Lakini, kuna issue ambayo Mheshimiwa mmoja amezungumzia kuhusu by-laws za kaunti. Kila kaunti iko na by-laws ambazo wanafwata. Basi, mwananchi akipata sintofahamu, aweze kwenda kortini kushtaki na apate haki yake. Sijui zitawiana vipi na sheria za national Government ."}