{"id":1498324,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1498324/?format=json","text_counter":484,"type":"speech","speaker_name":"Jomvu, ODM","speaker_title":"Hon. Bady Twalib","speaker":null,"content":" Kwa hivyo, Mhe. Spika wa Muda, kulingana na amri yako, nimekubali kuomba msamaha na kurudisha ama kutolewa katika kunukuliwa katika Ratiba ya Bunge…"}