{"id":1498611,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1498611/?format=json","text_counter":205,"type":"speech","speaker_name":"Mombasa County, ODM","speaker_title":"Hon. Zamzam Mohammed","speaker":null,"content":" Ahsante, Mhe. Spika. Wakati mwingine, mwanafunzi humshinda mwalimu. Waziri, tungependa kujua kwa nini watoto wanalipa pesa ya masomo ya ziada na wakati ambapo watakuwa wamelipa karo, bado wanafukuzwa shule."}