{"id":1498613,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1498613/?format=json","text_counter":207,"type":"speech","speaker_name":"Mombasa County, ODM","speaker_title":"Hon. Zamzam Mohammed","speaker":null,"content":"Walimu pia wanalazimishwa kuhamishwa kuenda katika shule zingine za mbali sana na nyumbani, na inawasumbua sana kwa kuacha familia zao. Inakuwa hawawezi kufocus na ile masomo. Ahsante sana, Waziri."}