{"id":1498981,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1498981/?format=json","text_counter":575,"type":"speech","speaker_name":"Lamu East, JP","speaker_title":"Hon. Ruweida Mohamed","speaker":{"id":2100,"legal_name":"Shariff Athman Ali","slug":"shariff-athman-ali"},"content":" Mhesh. Naibu Spika, tukizungumza kuhusu makadamia, tunafaa kuizungumzia pamoja na nuts zingine, haswa korosho ambayo katika packaging, huchaganywa na macadamia. Nataka pia Waziri anapozungumza, azichanganye vivyo hivyo. Akizungumzia makadamia, azungumzie korosho."}