{"id":1499736,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1499736/?format=json","text_counter":193,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Chimera","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Sikusema kwa kukusudia vibaya. Nilikuwa naweka wazi tu kwamba kuna msukumo uliofanya Mswada huu kufika hapa. Kuniradhi kama imeeleweka, naomba kuendelea na mchango wangu."}