{"id":1501973,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1501973/?format=json","text_counter":175,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Bw. Spika wa Muda, aliyekua Seneta na Waziri wa Kilimo, Mhe. Linturi, hakutimuliwa katika Bunge. Mswada wa kumuondoa mamlakani ulishindwa katika Bunge la Taifa. Kwa hivyo, si sawa kwa Mhe. Mundigi kusema kwamba alitimuliwa. Angalia HANSADI."}