{"id":1502497,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1502497/?format=json","text_counter":103,"type":"speech","speaker_name":"Lamu East, JP","speaker_title":"Hon. Ruweida Mohamed","speaker":{"id":2100,"legal_name":"Shariff Athman Ali","slug":"shariff-athman-ali"},"content":" Ahsante, Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi ya kuchangia mjadala kuhusu Hotuba ya Rais. Kusema kweli, Rais ni msikivu; yaani anasikiliza maneno. Hiyo ni sifa ya mwanadamu mzuri. Katika swala la Adani, kule"}