{"id":1502545,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1502545/?format=json","text_counter":151,"type":"speech","speaker_name":"Kisauni, ODM","speaker_title":"Hon. Rashid Bedzimba","speaker":{"id":13383,"legal_name":"Ali Menza Mbogo","slug":"ali-menza-mbogo"},"content":"Nikimalizia, kwa sababu muda wangu naona umekwisha, ningependa kuzungumzia kazi katika mataifa ya nje. Kweli, zimekuja juzi na zimesaidia watoto wengi. Lkini kuna watu ambao…"}