{"id":1502549,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1502549/?format=json","text_counter":155,"type":"speech","speaker_name":"Kisauni, ODM","speaker_title":"Hon. Rashid Bedzimba","speaker":{"id":13383,"legal_name":"Ali Menza Mbogo","slug":"ali-menza-mbogo"},"content":" Kwa hivyo, vijana wapelekewe kazi kule waliko ili ziwasaidie. Ama watu watasema kwamba zile kazi zimekuja kwa ubaguzi. Kwa hivyo, kazi zingine kule Ujerumani, Uajemi ama nchi zingine zikija, zote zigawanywe katika maeneo yote, ili kila mmoja aweze kufaulu. Kwa haya mengi…"}