{"id":1507076,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1507076/?format=json","text_counter":124,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Munyi Mundigi","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Bw. Naibu Spika, Seneta wa Kaunti ya Kirinyaga amenena kuhusu speed ambayo magari ya kusafirisha miraa/muguka yanatumia. Naomba Serikali ijenge airstrip ili wakulima kutoka kaunti za Embu, Tharaka Nithi na Kirinyaga, wapate mahali ambapo patatumika kusafirisha miraa katika kaunti zingine au nchi za ng’ambo."}