{"id":1507097,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1507097/?format=json","text_counter":145,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Wafula","speaker_title":"","speaker":{"id":348,"legal_name":"Davis Wafula Nakitare","slug":"davis-nakitare"},"content":"ya baadhi ya wafanyikazi hazilipwi. Wanasononeka na kutaabika. Kwangu Bungoma wafanyikazi wanalia. Wakienda hospitalini wanaambiwa Britam haijalipa. Britam haitekelezi wajibu wake. Nami naomba Serikali iamuru kwamba pesa zitolewa ziende katika kaunti."}