{"id":1514232,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1514232/?format=json","text_counter":615,"type":"speech","speaker_name":"Wundanyi, WDM","speaker_title":"Hon. Danson Mwashako","speaker":null,"content":"1965 ambayo iligawanya Kenya vipande viwili. Kipande kimoja kilikuwa cha manufaa na basi Serikali Kuu ikawekeza kule. Kipande kingine kikawa si cha faida sana ambacho kilibaki nyuma kwa miaka mingi."}