{"id":1516606,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1516606/?format=json","text_counter":261,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Mwaruma","speaker_title":"","speaker":{"id":13223,"legal_name":"Johnes Mwashushe Mwaruma","slug":"johnes-mwashushe-mwaruma"},"content":"Bw. Naibu Spika ninaomba unilinde kutokana na kelele nyingi kutoka upande huu na wale wanaoongea kwa sauti. Maseneta waliyo upande wa mkono wangu wa kulia kidogo wanajadiliana kwa sauti ya juu"}