{"id":1517165,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1517165/?format=json","text_counter":85,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Bw. Naibu Spika ninaomba unilinde kwa sababu ninasoma taarifa hapa na ninaona kuna majadiliano ya watu wa ODM."}