{"id":1521936,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1521936/?format=json","text_counter":195,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Asante Bw. Naibu Spika, kwa kunipa fursa ya kuchangia taarifa iliyohusiana na kucheleweshwa kwa mishahara na Shirika la KALRO iliyoletwa Bungeni na Sen. Eddy Oketch, Seneta wa Migori."}