{"id":1521938,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1521938/?format=json","text_counter":197,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Ni aibu Mashirika kama haya kuendelea kuaibisha Serikali wakati wale waliyo katika mamlaka haya wanashindwa kulipa mishahara ya wafanyikazi waliyojitolea kufanya kazi kuanzia tarehe moja hadi tarehe 30."}