{"id":1522117,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1522117/?format=json","text_counter":123,"type":"scene","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"mulungula, kuchukua hongo ama rushwa. Haya yote ni maneno ya visawe kuashiriakwamba hongo, rushwa ama mulungula ni donda sugu katika taasisi ya afya nchiniKenya. Asante, Bi Spika wa Muda."}