{"id":1525715,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1525715/?format=json","text_counter":102,"type":"speech","speaker_name":"The Cabinet Secretary for Labour and Social Protection","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Sijui hali ya Maureen, nitachunguza. Lakini kwa ujumla unakuta ya kwamba umepewa kazi na mtu fulani, halafu wewe unatoroka hiyo kazi na kuenda kufanya mambo mengine---"}