{"id":1525815,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1525815/?format=json","text_counter":202,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Olekina","speaker_title":"","speaker":{"id":407,"legal_name":"Ledama Olekina","slug":"ledama-olekina"},"content":"Asante Bw. Spika. Waziri wa Fedha, Waziri wa Leba na yule wa ugatuzi walizungumza na wakakubaliana ya kwamba watapeana Cabinet Memo ili Kshs2,686,000,000 iwekwe katika budget ya mwaka wa 2023/2024 ili iweze kulipa"}