{"id":1538487,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1538487/?format=json","text_counter":271,"type":"speech","speaker_name":"Likoni, ODM","speaker_title":"Hon. Mishi Mboko","speaker":null,"content":"Mambo ya usalama wetu katika eneo hili pia yanasimamiwa na kitengo hiki cha Mgao wa 2043. Kwa hivyo, ni kitengo na Mgao muhimu sana. Naunga mkono."}