{"id":1545037,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1545037/?format=json","text_counter":87,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Asante Bw. Spika. Kisha tujue ni vipi wanafanya malipo haya. Kuna wengine ambao wamepeleka madai gushi, wamelipwa wakati wale ambao wanastahili kulipwa bado wanangojea na hawajulikani watalipwa lini."}