{"id":1546364,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1546364/?format=json","text_counter":133,"type":"speech","speaker_name":"The Temporary Speaker","speaker_title":"","speaker":null,"content":"wamekuja kutembelea Bunge ambao wameketi katika Ukumbi wa Spika kutoka shule ya Gibarori JSS, Kuria East, Migori County. Tuwakaribishe katika Bunge."}