{"id":1547573,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1547573/?format=json","text_counter":107,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Miraj","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Asante Bw. Spika kwa kunipa fursa hii niweze kuchangia statement ya Sen. Gloria kuhusiana na ndugu zetu ambao wame -coniwa pesa zao wakati wanataka kusafiri kwenda kutafuta ruzuku kule ughaibuni. Nazungumza na masikitiko makubwa."}