{"id":1549382,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1549382/?format=json","text_counter":98,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Kinyua","speaker_title":"","speaker":{"id":13202,"legal_name":"John Kinyua Nderitu","slug":"john-kinyua-nderitu-2"},"content":"kama mwananchi wa kawaida. Kile alichonacho pengine ni ile sare ya maafisa wa usalama lakini hana chochote kingine. Kwa hivyo, yeye ni kama mwananchi wa kawaida."}