{"id":1553444,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1553444/?format=json","text_counter":22,"type":"speech","speaker_name":"ODM, Nominated","speaker_title":"Hon. Irene Mayaka","speaker":null,"content":" Mhe. Spika, naomba kuwasilisha waraka ufuatayo Mezani: Ripoti ya Kamati ya Utangamano wa Kikanda kuhusu ukaguzi wa asasi zisizo huru kikamilifu za Jumuia ya Afrika Mashariki na ushoroba wa kati katika Jamhuri ya Muungano ya Tanzania. Shukran."}