{"id":1555081,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1555081/?format=json","text_counter":545,"type":"speech","speaker_name":"Kikuyu, UDA","speaker_title":"Hon. Kimani Ichung’wah","speaker":null,"content":" Asante, Mhe. Spika wa Muda. Naomba kuwasilisha hoja kwamba Bunge likubaliane na Kamati kuhusu kuzingatia Mswada wa Marekebisho ya Ushuru wa Bidhaa, Mswada wa Bunge la Taifa Nambari. 7 wa Mwaka 2025. Ningependa kumwomba Mhe. Zamzam aunge mkono."}