{"id":1555793,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1555793/?format=json","text_counter":189,"type":"speech","speaker_name":"Mombasa County, ODM","speaker_title":"Hon. Zamzam Mohammed","speaker":null,"content":"Kwa hivyo, nampongeza. Karibu tufanye kazi pamoja. Pole kwa msiba uliompata. Kazi hii imekuja wakati ambapo bado anaomboleza. Naomba Mungu ampe ujasiri wa kuweza kufanya kazi."}