{"id":1556254,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1556254/?format=json","text_counter":196,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Miraj","speaker_title":"","speaker":null,"content":"majukumu haya. Mpaka lini wakaazi wa Pwani na wakenya kwa jumla, watakuwa wanasubiri vyeti hivi ili wamiliki halali wa mashamba yao? Asanteni sana."}