{"id":1556260,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1556260/?format=json","text_counter":202,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Wafula","speaker_title":"","speaker":null,"content":"La tatu ni kuhusu vyeti vya umiliki wa ardhi. Kuna changamoto nyingi katika kaunti zetu kuhusu vyeti vya kumiliki mashamba. Kuna baadhi ya watu wachache ambao wakinunua mashamba, vyeti vinapatikana haraka---"}