{"id":1558421,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1558421/?format=json","text_counter":242,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Chimera","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Mapendekezo ya Sen. Sifuna ya kwamba wachezaji wote waweze kijisajili katika makundi tofauti tofauti ili waweze kupata fedha kutoka kwa Serikali ni jambo la maana sana."}