{"id":1560353,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1560353/?format=json","text_counter":304,"type":"speech","speaker_name":"Matuga, ANC","speaker_title":"Hon. Kassim Tandaza","speaker":null,"content":"tutatumia vitengo mbalimbali vya Serikali ili visitumiwe na mabwanyenye kuhaini hatua za Serikali na kuwanyanyasa wananchi. Wakati umefika wa Bunge kuchukua hatua dhabiti ya kulinda wananchi wake. Ahsante."}