{"id":1560961,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1560961/?format=json","text_counter":213,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Farah Maalim","speaker_title":"The Temporary Speaker","speaker":{"id":16,"legal_name":"Farah Maalim Mohamed","slug":"farah-maalim"},"content":" Mhe. Kaluma, katika Kanuni za Kudumu zetu na pia Katiba yetu, lugha mbili zinazokubaliwa kutumika Bungeni ni Kiswahili na Kizungu. Kwa hivyo, kama amezungumza kwa Kiswahili, amezingatia Kanuni za Kudumu."}