{"id":1561444,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1561444/?format=json","text_counter":232,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Speaker","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Tosha! Mhe. Tongoyo, ni uzembe au ni kutotaka kufanya kazi? Je, suala hili linapaswa kuzingatiwa na Kamati ya Ardhi au Kamati ya Utawala na Usalama wa Ndani?"}