{"id":1562932,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1562932/?format=json","text_counter":72,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Kinyua","speaker_title":"","speaker":{"id":13202,"legal_name":"John Kinyua Nderitu","slug":"john-kinyua-nderitu-2"},"content":"Bw. Spika kinachoniudhi zaidi ni yakwamba Mhe. Were alikuwa amesema maisha yake yalikuwa hatarini. Mkuu wa polisi wa Jamhuri ya Kenya alifanya nini kuzuia yaliyotendeka? Haya ni maswali yasiyopatata jawabu."}