{"id":1562934,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1562934/?format=json","text_counter":74,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Kinyua","speaker_title":"","speaker":{"id":13202,"legal_name":"John Kinyua Nderitu","slug":"john-kinyua-nderitu-2"},"content":"Langu ni kuungana na wakazi wa Kasipul Kabondo kusema pole kwa niaba ya watu wa Laikipia. Tumempoteza kiongozi ambaye alijitolea kufanya kazi aliyopewa na aliyochaguliwa."}