{"id":1562949,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1562949/?format=json","text_counter":89,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Chimera","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Mara kwa mara alipenda kunirai nijiunge na chama chao cha ODM lakini nikamkumbusha kwamba mimi ni generali wa Mhe. Rais William Ruto na tukawa tunazozana katika hali ile."}