{"id":1563138,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1563138/?format=json","text_counter":278,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Asante, Mheshimiwa Naibu Spika, kwa kunipa fursa hii nichangie Taarifa ya Kamati ya Fedha na Bajeti kuhusiana na uteuzi wa wanachama wa Bodi ya Banki Kuu ya Kenya."}