{"id":1563706,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1563706/?format=json","text_counter":114,"type":"speech","speaker_name":"Sen. (Dr.) Murango","speaker_title":"","speaker":{"id":13585,"legal_name":"Murango James Kamau","slug":"murango-james-kamau"},"content":"Sisi tungetaka huduma zinazopelekwa katika kiwanda hicho zibaki pale pale. Kama wakulima wataamua kwamba kiwanda hicho kipeanwe, basi wanafaa kuhusiswa kikamilifu ili waamue kama kitatolewa au la."}