{"id":1564018,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1564018/?format=json","text_counter":138,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Bw. Spika, natoa kauli yangu kushinikiza kwamba ni lazima uteuzi wa makamishna wale ufike katika Bunge la Seneti ili kuona kwamba haki inatendeka katika uteuzi huo. Asante, Bw. Spika."}