{"id":1565211,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1565211/?format=json","text_counter":151,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Mungatana, MGH","speaker_title":"","speaker":null,"content":"watoto wetu wasome. Wale wazee wanaojaribu kuwaoza watoto walio chini ya miaka 18 korti na machifu wetu wafanye bidii ili hawa watu waadhibiwe."}